" Dar City Yaanza BAL 2026 Kwa Kishindo, Yamchakaza Mwenyeji

Dar City Yaanza BAL 2026 Kwa Kishindo, Yamchakaza Mwenyeji

 

Dar City Yaanza BAL 2026 Kwa Kishindo, Yamchakaza Mwenyeji
Wawakilishi pekee wa Tanzania katika Michuano ya BAL 2026, (Basketball African League), Timu ya Mpira wa Kikapu ya Dar City wameibuka na ushindi mnono vikapu 100-70 dhidi ya wenyeji Johannesburh Giants, mchezo ambao umechezwa Pretoria Afrika Kusini.

Baada ya ushindi huo Dar City watarejea tena uwanjani kesho kuchezwa dhidi ya Nairobi City Thunder.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

 
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post