" “Mwili wa Marehemu Irene Robert Ulikutwa na Majeraha” Kifo bado kina utata

“Mwili wa Marehemu Irene Robert Ulikutwa na Majeraha” Kifo bado kina utata

 

Mchumba wa Marehemu Irene Robert Akamatwa "Mwili Ulikutwa na Majeraha" Kifo bado kina utata,

Mchumba wa marehemu anayefahamika kwa jina la Irene Robert, maarufu kwa jina la Brian Mutenye Waboto, anadaiwa kukamatwa na jeshi la polisi akiwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, Brian alikamatwa akiwa hospitalini hapo huku chanzo cha kukamatwa kwake kikiwa bado hakijafahamika wazi mara moja. Polisi wamechukua hatua hiyo kama sehemu ya ufuatiliaji wa tukio linalohusiana na kifo cha Irene Robert, ambapo uchunguzi unaendelea ili kubaini ukweli wa kilichotokea.

Mashuhuda waliokuwepo hospitalini wamesema polisi waliowasili na kumchukua mtuhumiwa huyo bila kutokea vurugu kubwa. Hata hivyo, hakukuwa na taarifa rasmi zilizotolewa mara moja na mamlaka husika kuhusu tuhuma zinazomkabili au hatua zinazofuata.

Polisi wamesema wataendelea kutoa taarifa rasmi mara uchunguzi utakapokamilika na ukweli zaidi utakapopatikana kuhusu mazingira ya tukio hilo.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Irene Robert, amefariki Machi 20, 2026 baada ya kuugua ghafla.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

 
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post