" Timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ Yaishushia Kipigo Kikali Macau

Timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ Yaishushia Kipigo Kikali Macau

 

Timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ imemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi B la michuano ya kirafiki ya FIFA Series 2026 kufuatia ushindi mnono wa 6-0 dhidi ya Macau katika dimba la Kigali Pele, Rwanda.

FT: Macau 🇲🇴 0-6 🇹🇿 Tanzania
⚽ 16’ Amâncio (og)
⚽ 26’ Mwamnyeto
⚽ 45+1’ Mudathir
⚽ 56’ Peter
⚽ 74’ Miroshi
⚽ 87’ Allarakhia

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

 
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post