
Kijana Mmoja aliyefahamika kwa Jina la Abdulaziz Kabangila (31) Mkazi wa Mwatulole Mkoani Geita, aliyefikishwa Mahakama ya Mwanzo Nyankumu, amehukumiwa kwenda Jera kutumikia kifungo cha Miezi 6 kwa tuhuma za kuzusha kuibiwa Nyeti.
Akizungumza na vyombo vya Habari Kamanda wa Poisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amesema Mnamo Aprili 6 , 2026 majira ya saa Moja usiku katika eneo la starehe Kijana Abdulaziz alizua taharuki kwa madai kuwa amepoteza nguvu au maumbile yake ya siri baada ya kuguswa Bega na Mlalamikaji Vedastus Magogo lakini haikuwa na ukweli
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment