🎓 DEGREE ISIYOONGEA 🎓
Kuna ndoto ambazo watu wanaiona mbali…
Lakini kuna ukweli ambao hauonekani nyuma ya mafanikio hayo.
Wengine wanacheka kwa furaha…
Wengine wananyamaza kwa maumivu.
Lakini swali ni moja:
👉 Je, degree peke yake inatosha kuamua maisha?
🔥 SHY TALENT FILMS tunakuletea simulizi yenye uhalisia,
itakayokufungua macho juu ya maisha baada ya elimu.
🗓 ALHAMISI – 16 APRIL 2026
⏰ SAA 4:00 ASUBUHI
📲 SUBSCRIBE SASA – MISALABA MEDIA
Usikose… hii si drama ya kawaida.
🎭 DEGREE ISIYOONGEA – UKWELI AMBAO WENGI HAWAUSEMI

Post a Comment