" GALATONE AWACHANA WASANII: “KURUDIA NYIMBO NI KUKOSA UBUNIFU!”

GALATONE AWACHANA WASANII: “KURUDIA NYIMBO NI KUKOSA UBUNIFU!”

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Galatone amefunguka katika mahojiano na Misalaba Media kwa njia ya simu, akieleza mtazamo wake kuhusu mwenendo wa baadhi ya wasanii wanaorudia nyimbo zao za zamani. Galatone amesema tabia hiyo inaashiria kukosa ubunifu, akiwataja baadhi ya wasanii wakubwa kama Harmonize kufanya hivyo, huku akisisitiza kuwa muziki unahitaji mawazo mapya kila wakati ili kuwavutia mashabiki.

Katika mazungumzo hayo, Galatone pia aligusia uhusiano wake na wasanii wengine akiwemo Dully Sykes. Aidha, alimtaja Noorah kama msanii wake anayempenda zaidi. Galatone alihitimisha kwa kusema kwa upande wake, hakuna mwanamuziki wa kuimba anayemfikia Gaddy Shine, akimtaja kuwa ndiye namba moja kwake katika Mikoa ya kanda wa Ziwa, na kuongeza kuwa kwa mtazamo wake hakuna anayemkaribia hata Best Nasso hamfikii.

 

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

 
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post