Akizungumza na Redio ya Jembe FM 93.7 Mkoani Mwanza,Mkurugenzi Mkuu wa Makongamano, Utalii na Utamaduni _Shujaa, Eng. Hashim Omary Ramadhani_ ameyasema hayo mapema leo kwenye Kipindi kinachoruka live kupitia Radio Jembe Mkoani MwanzaKatika kuendelea kuhitimisha Wiki ya Wanaume Duniani _Shujaa Hashim Omary_ amesema wanaume wengi hujiendekeza na kwenda kuamua kulelewa na Majimama au lugha ya mjini wanaita (Mishangazi) na kufanya kudharaulika kama kupoteza sifa za kuitwa MwanaumeEng. Hashim Omary amesisitiza kwa Wanaume wote kuacha tabia hiyo ambayo inashusha heshima ya Mwanaume na kuwataka wajishughulishe na biashara ndogo ndogo ili wajipatie kipato halali kuliko kujibebisha kwa wanawake ili wapate kuelelewaEng. Hashim amemaliza kwa kusema hata wanaume wanaoenda Salon kusuguliwa miguu waache maana nao ni umama
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment