" Simba SC Yagonga Mwamba Kesi ya Camara

Simba SC Yagonga Mwamba Kesi ya Camara

 

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF imetupa shauri lililowasilishwa na Simba SC kuhusu uhalali wa usajili wa mchezaji Mohamed Damaro Camara.

Kwa mujibu wa uamuzi huo, kamati hiyo imeona kuwa hoja zilizowasilishwa hazina uzito wa kisheria au ushahidi wa kutosha kuweza kuthibitisha madai yaliyokuwa yakitolewa na klabu hiyo.

Shauri hilo lilikuwa likihusu utata wa uhalali wa mchezaji huyo kushiriki katika mashindano ya ndani, jambo lililozua mjadala mkubwa miongoni mwa wadau wa soka nchini.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

 
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post