Meneja wa mgodi wa Mwamba mining kwenye eneo la Nyarugusu Habil Ezekiel ameshukuru sera za madini nchini kwa kuchochea ukuaji wa sekta hiyo huku zikiepusha migongano ya kijamii.
Akizungumza leo kufuatia kuwepo kwa mazungumzo baina ya wadau wa sekta hiyo juu ya utaratibu wa kuiachia Mwamba Mining eneo lao ambalo waliwaachia baadhi ya wachimbaji waendelee kuchimba baada ya kuingia nao mazungumzo ya makubaliano.
Ezekiel alisema kuwa mikataba ya uchimbaji madini imetoa mwongozo mzuri kwa wadau wote wanaotegemea eneo moja kuchimba madini wasiweze kuingia katika migongano.
Alisema wao Mwamba Mining hawawezi kubuguzi wadau wenzao waliopo katika eneo hilo hivyo kuwataka waheshimu taratibu zilizopo zenye kuongozwa na sheria za nchi.
Ezekiel alisema kumekuwepo . Upotoshaji juu ya wananchi waliopo kwenye eneo hilo kuwa wanapinga kuwaachia eneo lao hilo si za kweli zimelenga kujenga taswira hasi kwenye jamii.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment