Kupotea kwa mtotoJina RICHARD RIZIKI KIKOUmri MIAKA 15Elimu MWANAFUNZI WA SEKONDARI KIDATO CHA PILI Mbwawa SekondariTarehe ya kupotea : 28 JUNE 2026 JUMAPILI📌Richard mara ya mwisho majira ya saa kumi Jioni alikuwa kituo cha mbezi kibanda cha mkaaa akiwa amevaa shati la blue bahari na draft ,jeans nyeusi na raba nyeupe zenye urembo.Taarifa zimeripotiwa vituo vya polisi vifuatavyo:Mburahati, Magomeni, Urafiki na Kibo.Kwa yeyote atakayemuona piga namba /mpeleke kituo cha polisi kilicho karibu0757383010 -Mama mzazi0782295310-Dada0742977363 - Baba Mkubwa
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment