" MWANASHERIA MKUU, KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA WAIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA MASUALA YA KISHERIA

MWANASHERIA MKUU, KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA WAIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA MASUALA YA KISHERIA

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Abdallah Shekalaghe, Ofisini kwake Mtumba, Jijini Dodoma tarehe 23 Julai, 2026.

Pamoja na mambo mengine kikao baina ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu kimelenga kuendeleza zaidi ushirikiano, na kuendelea kuhakikisha utekelezaji bora wa masuala ya Kisheria nchini.

Katika ziara hiyo Dkt. Shekalaghe aliambatana na Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria kwa Umma, Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Obadia M. Kameya.

 SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post