WAJIBU WA MAFUNDI WA VYOMBO VYA MOTO KATIKA KUZUIA AJALI ZA BARABARANI
Katika kipindi cha Wamesikika kinachorushwa na MISALABA MEDIA, mafundi wa vyombo vya moto wamezungumzia wajibu wao katika kuzuia ajali za barabarani. Wamesema matengenezo sahihi ya vyombo vya moto, ukaguzi wa mara kwa mara wa mifumo ya breki, matairi, taa na sehemu nyingine muhimu ni hatua zinazosaidia kupunguza ajali.
Aidha, wamewataka wamiliki na madereva wa vyombo vya moto kuhakikisha wanafanya matengenezo kwa wakati na kutumia mafundi wenye sifa ili kuimarisha usalama barabarani.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment