" BINTI MWENYE NDOTO YA KUWA MUIGIZAJI AFUNGUKA, ASEMA YUKO TAYARI KUACHA MASOMO KUFUATA NDOTO YAKE

BINTI MWENYE NDOTO YA KUWA MUIGIZAJI AFUNGUKA, ASEMA YUKO TAYARI KUACHA MASOMO KUFUATA NDOTO YAKE

 BINTI MWENYE NDOTO YA KUWA MUIGIZAJI AFUNGUKA, ASEMA YUKO TAYARI KUACHA MASOMO KUFUATA NDOTO YAKE

Binti mmoja amefunguka kupitia MISALABA MEDIA akieleza kuwa ndoto yake kubwa ni kuwa muigizaji bora nchini, akisema yuko tayari kufanya kila linalowezekana ili kufikia mafanikio katika tasnia hiyo. Akizungumza kwenye mahojiano hayo, amesema msanii Jennifer Kyaka (Odama) ndiye mfano wake wa kuigwa (role model), akibainisha kuwa amekuwa akivutiwa na kazi zake na namna anavyofanya vizuri kwenye uigizaji. Aidha, binti huyo ambaye kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo, amesema yuko tayari hata kuacha masomo endapo atapata nafasi nzuri ya kuingia kwenye tasnia ya uigizaji na kutimiza ndoto yake ya muda mrefu.

Post a Comment

Previous Post Next Post