" MTOTO APIGWA NA BABU YAKE, ASHINDWA KUTEMBEA

MTOTO APIGWA NA BABU YAKE, ASHINDWA KUTEMBEA

 

MTOTO APIGWA NA BABU YAKE, ASHINDWA KUTEMBEA KISA SHILINGI 34,000 Mtoto anayefahamika Kwa jina la Isaya Lukas mwenye umri wa miaka 14, mkazi wa Mtaa wa Tambukareli, Kata ya Ndembezi, Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, amepigwa na babu yake na kufikia hatua ya kushindwa kutembea, baada ya kutuhumiwa kuiba kiasi cha shilingi 34,000.

Post a Comment

Previous Post Next Post