" SEKTA YA UREMBO YAZIDI KUSHIKA KASI NCHINI.

SEKTA YA UREMBO YAZIDI KUSHIKA KASI NCHINI.



Uinuaji wa vipaji vya watu katika sekta ya mapambo ni mhimu kufanywa na walio kusudia katika sekta hiyo kutokana na uwepo wa ushindani.

Meneja wa Lydia Events and Beuty Academy ya jijini Mwanza alisema vipaji hivyo vinapashwa kuinuliwa  kwa wanachuo kujifunza kwa juhudi huku wakitambua kuwa mazingira hapa duniani yanabadilika kila siku.

Alisema utalaam wa kumfanya mtu apendeze ni mhimu kufanywa kwa uangalifu mkubwa kwani yapo mabadiliko makubwa saana yanafanyika sehemu mbalimbali duniani hivyo wanachuo katika mafunzo yao huandaliwa waweze kukidhi soko la ajira.

Lydia alisema kuwa chuo hicho kinafundisha kozi za Make Up, Ususi, Mapambo, Ushonaji wa nguo za mahafali na upishi wa keki na Decoration.

Mwanachuo Penina Levyliane toka Biharamulo Mkoqni Kagera anasema anajifunza ili aweze kujitegemea mwenyewe.

Julieth Elias wa Nyegezi Jijini Mwanza ambaye ni mwanachuo alisema anayo furaha kujifunza shughuli hiyo kwani watu wengi

.SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

 

 

Post a Comment

Previous Post Next Post