Taarifa hiyo imechapishwa kwenye ukurasa wa Instagram unaodaiwa kuwa wa Dkt. Nchimbi, ikieleza kuwa amemuandikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhusu uamuzi huo.
Hata hivyo, hadi sasa mamlaka husika hazijathibitisha kupokea barua hiyo wala kuthibitisha rasmi taarifa hizo.
Misalaba Media inaendelea kufuatilia kwa karibu taarifa hii na taarifa rasmi zaidi zitapotufikia, tutawajulisha.
Endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii ya MISALABA MEDIA
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment