Baada ya mazishi ya Mzee Boaz Daud Tungu, mtoto wake wa nne, Robert Boaz, ambaye aliwahi kuwa Kamanda wa Polisi katika mikoa mbalimbali na baadaye Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), anazungumza na Misalaba Media kuhusu historia ya maisha ya baba yake, maadili aliyoyaishi, mchango wake kwa familia na sababu zilizomfanya akumbukwe na wengi. Tazama mahojiano haya maalum.
Kwa nini Mzee Boaz Daud Tungu aliamua kujichimbia kaburi lake mwenyewe zaidi ya miaka nane kabla ya kufariki dunia? Katika mahojiano haya maalum, mtoto wake wa nne, Robert Boaz, anafafanua sababu za uamuzi huo, namna familia ilivyoupokea na maisha ya baba yake hadi alipofariki dunia.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment