
BENKI ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) imeendelea kuwawezesha wajasiriamali na wawekezaji wa sekta ya kilimo kupitia utoaji wa mikopo, hatua inayochochea ukuaji wa biashara na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo nchini.
Akizungumza katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea mkoani Dodoma, Mhasibu wa Kampuni ya GBRI, Lightness Mariki, amesema kampuni hiyo imenufaika kwa kiasi kikubwa na mkopo walioupata kutoka TADB.
Amesema fedha hizo zimewawezesha kuongeza uwezo wa kununua parachichi kutoka kwa wakulima, kupanua shughuli za uzalishaji wa mafuta ya parachichi na kuimarisha maendeleo ya mradi kwa ujumla.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment