Watendaji wa Kata na Mitaa kutoka Halmashauri ya Mji Kasulu - Kigoma washiriki Mkutano Mkuu wa Kwanza wa Watendaji Tanzania na Uzinduzi Rasmi wa Umoja wa Watendaji Tanzania (UWATA) uliofanyika kuanzia tarehe 30-31 Julai, 2026 Jijini Dodoma.Katika Mkutano huo uliohudhuriwa na Watendaji zaidi ya 1000 kutoka Halmashauri mbalimbali nchini wenye Lengo la kuwaunganisha Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa Tanzania katika jukwaa moja la Kada ya Watendaji kwa kuleta ushirikiano, uzalendo na uwajibikaji katika kuwatumikia wananchi.Akizungumza mara baada ya Mkutano huo Katibu wa UWATA Mkoa wa Kigoma, Bi. Ester Pallangyo (Watatu kushoto ambaye ni Mtendaji wa Mtaa Kasulu Mji) amesema, _"imekuwa faraja na bahati kwetu kuweza kushiriki Historia hii muhimu kwa Watendaji Tanzania na imekuwa chachu kwetu na kujifunza mengi zaidi kuhusu Kada hii lakini pia tunaishukuru Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kasulu Mji mwl vumilia simbeye kwa kutuwezesha gharama zote za ushiriki wa Mkutano huu" pamoja na mchango wa mkuu wa idara ya utumishi na utawala bora Bwana nduwayo Elias_UWATA inawasihi Watendaji wote kuwa na mshikamano, uwajibikaji na uzalendo katika kuwatumikia wananchi:
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254






Post a Comment