Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wamefanikiwa kuvuna pointi tatu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliopigwa , Agosti 24, 2026, katika Dimba la KMC Mwenge, Dar es Salaam.
Kufuatia ushindi huo, Yanga SC imefikisha pointi tisa baada ya kucheza michezo mitatu, na kupanda hadi nafasi ya kwanza katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Yanga SC inalingana kwa pointi na Simba SC, lakini imepanda kileleni kutokana na kuwa na tofauti nzuri ya mabao ya kufunga na kufungwa.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment