Mkuu wa
Sehemu ya Utafiti TEITI, Andrew Eriyo, akizungumza na washiriki wa mafunzo
kuhusu uwazi, uwajibikaji na matumizi ya taarifa katika sekta ya madini.

Meneja Miradi wa HakiRasilimali, Lucy Shao, akitoa mafunzo kuhusu umuhimu wa ushahidi, uhakiki wa taarifa na namna ya kuandaa habari zenye maslahi kwa umma.

Washiriki wa mafunzo wakifuatilia kwa umakini mada mbalimbali zinazowasilishwa kuhusu utawala, uwazi, uwajibikaji na uandishi unaozingatia ushahidi katika sekta ya madini.

Wakili wa kujitegemea kutoka Himiza Social Justice, Gerald Makungulu, akizungumza kuhusu masuala ya kisheria yanayohusiana na sekta ya madini.
Washiriki wa mafunzo wakifuatilia kwa umakini mada mbalimbali zinazowasilishwa kuhusu utawala, uwazi, uwajibikaji na uandishi unaozingatia ushahidi katika sekta ya madini.
Washiriki wa mafunzo wakifuatilia kwa umakini mada mbalimbali zinazowasilishwa kuhusu utawala, uwazi, uwajibikaji na uandishi unaozingatia ushahidi katika sekta ya madini.
Washiriki wa mafunzo wakiwa katika makundi wakijadili masuala mbalimbali yanayohusu uchimbaji mdogo wa madini, utawala, uwazi na uwajibikaji katika sekta ya madini.

Mwandishi wa habari na Mhariri Mwandamizi, Ephrahim Bahemu, akiwakumbusha waandishi wa habari kuzingatia ushahidi, sheria na kuzungumza na pande zote katika uandishi wa habari za uchunguzi.

PROFESSOR MGOKO EPISODE 03
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment