" MSANII WA KIZAZI KIPYA AMETUA!!!

MSANII WA KIZAZI KIPYA AMETUA!!!

 

MSANII WA KIZAZI KIPYA AMETUA!!!


Msanii wa kizazi kipya Mr Ocean Ambassador ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya unaoitwa “CLASSMATE” 🔥🎵

Kama unaamini vipaji vya wasanii wetu chipukizi vinahitaji support, hii ni nafasi yako kumpa nguvu Mr Ocean. 💪🏾🔥

▶️ Ingia YouTube, tafuta “Mr Ocean Ambassador – Classmate”, tazama video, 👍🏾 LIKE, 💬 COMMENT na SHARE kwa wengine.

Post a Comment

Previous Post Next Post