" TAARIFA YA KUOMBA RADHI KWA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME

TAARIFA YA KUOMBA RADHI KWA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME

Kumbuka Umeme ulikata jana tarehe 22.09.2026 saa tano usiku mpaka sasa.

TANESCO YAOMBA RADHI

23 SEPTEMBA 2026

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Shinyanga linaomba radhi kwa ukosefu wa huduma ya Umeme  kwa wateja wetu wa baadhi ya Maeneo ya  Shinyanga Mjini  kwa ukosefu wa huduma ya Umeme.

MAENEO YANAYOATHIRIKA

*Maeneo ya Mjini kati, Bank ya NBC,Exim Bank,NMB,CRDB, Soko kuu,Nguzo Nane, Mitimirefu,Mtaa wa Viwanda, Ibinzamta,Kambarage,Ndala,Stand ya Zamani,Kizumbi,lubaga,Tambukareli, Ngokolo,Ndembezi, Viwanja vya Mwadui , Majengo Mapya ,Mwasele, Nhelegani,Bushushu yote ,Mwawaza,Mwawaza Hospital,Negezi, Hospitali ya Government na maeneo ya jirani.*

*Hatua zilizochukuliwa:-*

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Wataalamu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma inarejea kwenye hali yake ya kawaida.

Shirika linaomba radhi  kwa usumbufu wowote unaojitokeza.

Imetolewa na Ofisi ya:

Uhusiano na huduma kwa Wateja

TANESCO -SHINYANGA.

Post a Comment

Previous Post Next Post