" VIONGOZI WAMFARIJI RAIS SAMIA KUFUATIA KIFO CHA MUME WAKE HAFIDH AMEIR HASSAN

VIONGOZI WAMFARIJI RAIS SAMIA KUFUATIA KIFO CHA MUME WAKE HAFIDH AMEIR HASSAN

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali na vyama vya siasa na wananchi, wakimfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, walipofika nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja.


Viongozi hao walifika kumfariji Rais Samia kufuatia kifo cha mume wake, Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia tarehe 07 Septemba 2026 katika Hospitali ya Mzena, Zanzibar.

Post a Comment

Previous Post Next Post