Wanafunzi wa Shule ya Msingi Ibadakuli A Manispaa ya Shinyanga wamepatiwa elimu ya usalama barabarani kuhusu uvukaji salama wa barabara pindi wanapokwenda na kutoka shuleni Akitoa elimu hiyo Askari Polisi wa Kikosi Cha usalama barabarani Wilaya ya Shinyanga Staff sajenti Amina Chikoko amewaelekeza wanafunzi hao kuacha kuvuka barabara kiholela badala yake wavukie kwenye kivuko Cha watembea Kwa miguu ili kujiepusha na ajali za barabarani Staff sajenti Chikoko amewataka wanafunzi hao kabla ya kuvuka barabara kuangalia pande zote za barabara kama Kuna usalama baada ya kujiridhisha ndio wavuke barabara Kwa kutembea na sio kukimbia.
PROFESSOR MGOKO EPISODE 2
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment