Wananchi wa Kijiji Cha Uchunga kilichopo Wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga wamepatiwa elimu ya usalama barabarani ili kuepuka kuwa chanzo cha ajali barabarani wanapokuwa katika shughuli zao za kila siku.Elimu hiyo imetolewa na Mkuu wa Kikosi Cha Usalama barabarani Wilaya ya Kishapu Mkaguzi wa Polisi Rose Mbwambo ambapo amewaelekeza upande sahihi wanaotakiwa kutembelea wanapokuwa barabarani, kuepuka kutumia simu wakati wa kuvuka barabara pia kuacha kutembea barabarani wakiwa wamelewa pombe.Mbwambo amewaeleza kuwa matumizi sahihi ya barabara husaidia kuepukana na ajali na kuwataka Wananchi wote kuwa na utamaduni wa kutii Sheria bila shuruti.

PROFESSOR MGOKO EPISODE 03
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment