Furaha na tabasamu vimetawala katika familia ya HOPE SCHOOL, iliyopo Lubaga, Shinyanga, baada ya matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) mwaka 2026 kuonesha mafanikio makubwa, ambapo wanafunzi wote 36 waliofanya mtihani wamepata DARAJA A (BORA).
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), wanafunzi 19 wa kiume na 17 wa kike wamepata Daraja A, huku shule hiyo ikiwa na wastani wa alama 269.2222.
Aidha, wanafunzi hao wameonesha umahiri katika masomo yote sita yaliyofanyiwa mtihani, ambapo kila somo limepata wastani wa Daraja A.
Haya ni mafanikio yanayoonesha dhamira ya HOPE SCHOOL katika kutoa elimu bora, kujenga nidhamu na kuandaa wanafunzi wenye uwezo wa kufanya vizuri kitaaluma.
HOPE SCHOOL – ELIMU BORA, MAISHA BORA!
WASILIANA NASI
📞 +255 754 291 887 📞 +255 625 820 984 📞 +255 762 571 487 📞 +255 677 669 038
JIUNGE NA FAMILIA YA HOPE SCHOOL. USAJILI UNAENDELEA!


Post a Comment