HomeHABARI MBAPPE MFUNGAJI BORA KOMBE LA DUNIA 2022 Misalaba December 18, 2022 0 MCHEZAJI wa klabu ya PSG na timu ya Taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amefanikiwa kunyakua kiatu cha dhahabu kwenye michauno ya kombe la Dunia kwa kufanikiwa kuibuka mfungaji bora wa michuano hiyo kwa kufunga mabao nane. You Might Like View all
Post a Comment