" UWT WILAYA YA SHINYANGA MJINI WAADHIMISHA MIAKA 46 YA CCM, MAJESHI ACHARUKA SIASA ZA MAKUNDI HAZINA TIJA

UWT WILAYA YA SHINYANGA MJINI WAADHIMISHA MIAKA 46 YA CCM, MAJESHI ACHARUKA SIASA ZA MAKUNDI HAZINA TIJA

Na Mapuli Misalaba, Shinyanga

Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Ally Bin Ally amewataka viongozi wa CCM Wilaya hiyo kuachana na siasa za makundi na badala yake wafanye kazi kwa umoja ili kuleta matokeo chanya yenye manufaa kwa wananchi.

Ameyasema hayo leo kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kata ya Masekelo Manispaa ya Shinyanga,ambao umeandaliwa na jumuiya ya umoja wa wanawake UWT wilaya ya Shinyanga Mjini ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya kuzaliwa kwa CCM.

Katibu wa CCM Wilaya ya Shinyanga mjini Ally Bin Ally jina maarufu Majeshi amesema kutimiza miaka 46 ya CCM viongozi wanapaswa kujitafakari kwa kuongeza juhudi kwenye siasa zenye tija na kwamba wasiwe chanzo cha migogoro na kutengeneza makundi mabaya na mbasuko ndani ya chama.

“Tunapoelekea kutimiza Miaka 46 bado ndani ya chama kuna wana CCM wanadhani chama kina miaka nane au tisa, bado ndani ya chama hiki tuna nongwa za uchaguzi wanaojaliwa kuteuliwa kupata ridhaa au nafasi za kupeperusha pendala wanafikiri wanapewa hati miliki ya hizo nafasi walizopewa au wao ndiyo watu sahihi ndani ya chama waache”.amesema Majeshi

“Tulipotoka mwaka 2019 tukaenda 2020 nongwa za ubunge zipo unapopewa nafasi ndani ya chama kwa tiketi ya chama cha mapinduzi hujamilikishwa chama maana yake viongozi wetu waliopewa nafasi wasifanye kazi ya kukigawa chama kwa sababu ya kwamba kwa kuwa wao wananafasi basi wale ambao waliomba nao nafasi basi wale ambao waliomba nao hiyo nafasi wasiwe na nafasi wala thamani na heshima ndani ya chama jambo hili siyo sahihi watu waache tabia ya kukifuruga chama kwa sababu ya tafsiri potofu ambazo anazo yeye binafsi”.amesema Majeshi

Akizungumza Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini Anord Makombe pamoja na mambo mengine amewataka viongozi wakiwemo watendaji pamoja na wenyeviti wa serikali za mitaa kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha Mwanza wanakwenda shuleni.

Makombe ameeleza kuwa serikali tayari imeboresha miundombinu katika sekta ya elimu kwa shule za msingi na sekondari hivyo watoto wote wanaotakiwa kuendelea na masomo wasizuiliwe kwa sababu sizizo za msingi.

Bwana Makombe amewasisita viongozi hao kushirikiana na jamii kuhakikisha watoto wote waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha kwanza wanakwenda shule huku akiwaomba Walimu kutowarudisha wanafunzi kutokana na sababu zozote zile.

“Tunao wenyeviti wa mitaa tunao watendaji lakini pia tunao waheshimiwa madiwani itakuwa ni jambo la ajabu serikali inawekeza miundombinu yakutosha kwenye elimu kuanzia shule ya msingi hadi sekondari halafu matokeo yake shule hizo zisiwe na watoto, tukute watoto wameishia mtaani kuzurula au kuuza karanga na kufanya biashara zisizo kuwa na sababu au maana yoyote ile mimi niwaase tuhakikishe kwamba watoto wote waliochaguliwa wanaenda shule hasa wale wa kidato cha kwanza, darasa la kwanza na chekechea”.amesema Makombe

Kwa upande wake Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Shinyanga Mjini Rehema Nhamanilo ameeleza namna Jumuiya hiyo ilivyoshiriki katika maadhimisho hayo ambapo amesema wamefanya shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo kupanda miti katika maeneo tofauti ya Manispaa ya Shinyanga.

“Tumetembelea maeneo mbalimbali wanawake kamati ya utekelezaji tukishirikiana na kamati ya siasa ya wilaya tumefanya kazi nyingi tumekwenda kituo cha afya kambarage kusalimia wodi ya wazazi lakini pia tumeenda kituo cha watoto wenye uhitaji shule ya msingi Buhangija lakini pia tumeenda Hospitali yetu ya rufaa ya Mkoa tumepanda miti pamoja na Masekelo na Ndala”.amesema Rehema Nhamanilo

Jumuiya ya umoja wa wanawake wilaya ya Shinyanga mjini leo imeadhimisha Miaka 46 ya CCM Kwa kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo kupanda miti 1210 na kutoa misaada ya sabuni na mafuta kwa wahitaji.

Wamepanda miti 407 eneo la Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, miti 300 katika eneo la Masekelo sekondari, miti 203 eneo la Zahanati ya Masekelo, miti 200 eneo la Ndala sekondari pamoja na miti 100 eneo la Zahanati ya Ndala Manispaa ya Shinyanga.

Katibu wa CCM Wilaya ya Shinyanga mjini Ally Bin Ally jina maarufu Majeshi akizungumza katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na UWT Wilaya ya Shinyanga mjini ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM.Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga mjini Anord Makombe akizungumza katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na UWT Wilaya ya Shinyanga mjini ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM.Mwenyekiti wa jumuiya ya UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Rehema Nhamanilo akizungumza kwenye mkutano wa hadhara ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM.Katibu wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Lucy Enock akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Masekelo Manispaa ya Shinyanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM.
Awali katibu wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Lucy Enock akipanda mti katika eneo la shule ya sekondari Ndala Manispaa ya Shinyanga.
Awali katibu wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Lucy Enock akipanda mti katika eneo la shule ya sekondari Ndala ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 46 ya CCM.

Awali katibu wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Lucy Enock akipanda mti katika eneo la shule ya sekondari Ndala ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 46 ya CCM.

Mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Juliana Buzuruga awali wakati akipanda mti ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 46 ya CCM.

Mkuu wa shule ya sekondari Ndala Imani Chambulilo akipanda mti katika eneo la shule hiyo.

Diwani wa kata ya Ndala Zamda Shabani akipanda mti katika eneo la shule ya sekondari Ndala Manispaa ya Shinyanga.

Shughuli za upandaji miti zikiendelea ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM

Shughuli za upandaji miti zikiendelea ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM
Shughuli za upandaji miti zikiendelea ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM

Shughuli za upandaji miti zikiendelea katika eneo la zahanati ya Masekelo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM

Shughuli za upandaji miti zikiendelea katika eneo la shule ya sekondari Masekelo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM
Shughuli za upandaji miti zikiendelea katika eneo la Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Mwawaza ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM

Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Rehema Nhamanilo akizungumza kwenye mkutano wa hadhara kata ya Masekelo

Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Rehema Nhamanilo akizungumza kwenye mkutano wa hadhara kata ya Masekelo

Viongozi mbalimbali wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini wakiendelea na mkutano wa hadhara

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga mjini Anord Makombe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara kata ya Masekelo.

Viongozi wa UWT awali wakizungumza na watumishi katika kituo cha afya Kambarage.

Viongozi wa UWT wakikabidhi msaada wa sabuni na mafuta katika wodi za wazazi waliojifungua kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM.
Viongozi wa UWT wakikabidhi msaada wa sabuni na mafuta katika wodi za wazazi waliojifungua kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM.
Zoezi la kukabidhi msaada likiendelea katika wodi za wazazi kwenye kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga

Zoezi la kukabidhi msaada likiendelea katika wodi za wazazi kwenye kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 46 ya CCM.
Zoezi la kukabidhi msaada likiendelea katika wodi za wazazi kwenye kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 46 ya CCM.

Zoezi likiendelea la kutembelea majengo yanayojengwa kwa ajili ya huduma mbalimbali katika kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga.
Viongozi wa UWT wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watumishi katika kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga baada ya kutembelea majengo yanayojengwa kwa ajili ya huduma mbalimbali.
Viongozi wa UWT wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watumishi katika kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga baada ya kutembelea majengo yanayojengwa kwa ajili ya huduma mbalimbali.

Viongozi wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini wakikabidhi zawadi wa watumishi wa kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga
Viongozi wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini wakikabidhi zawadi wa watumishi wa kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga
Katibu wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Lucy Enock akizungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi msaada kwa watoto wenye uhitaji shule ya msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga.
Katibu wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Lucy Enock akizungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi msaada kwa watoto wenye uhitaji shule ya msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga.
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Rehema Nhamanilo akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi msaada kwa wanafunzi wenye uhitaji shule ya msingi Buhangija.
Mkuu wa shule ya msingi Buhangija Fatuma Gilala akiwashukuru UWT Wilaya ya Shinyanga kwa kutoa msaada huo ambao amesema utapunguza changamoto kwa watoto hao.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga mjini Anord Makombe akizungumza katika hafla ya kukabidhi msaada kwa watoto wenye uhitaji shule ya msingi Buhangija.
Zoezi la kukabidhi msaada likiendelea katika shule ya msingi Buhangija.
Zoezi la kukabidhi msaada likiendelea katika shule ya msingi Buhangija.
Zoezi la kukabidhi msaada likiendelea katika shule ya msingi Buhangija.

Viongozi wa Jumuiya ya UWT pamoja na CCM Wilaya ya Shinyanga mjini awali wakati wakitembelea Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

Viongozi wa Jumuiya ya UWT pamoja na CCM Wilaya ya Shinyanga mjini awali wakati wakitembelea Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Kaimu mganga mfawidhi Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. Mwita Chacha Ngutunyi wakati akisoma taarifa fupi ya Hospitali hiyo.
Ziara ya viongozi hao ikiendelea katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga iliyopo kata ya Mwawaza Manispaa ya Shinyanga.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga mjini Anord Makombe akipanda mti katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga mjini Anord Makombe akipanda mti katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Rehema Nhamanilo akipanda mti katika eneo la Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Rehema Nhamanilo akipanda mti katika eneo la Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

Veronica Masawe mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Wilaya ya Shinyanga mjini akipanda mti katika eneo la Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Juliana Buzuruga akipanda mti katika eneo la Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

Katibu wa UWT Wilaya ya Shinyanga mjini Lucy Enock akipanda mti katika eneo la Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

Mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT ambaye pia ni katibu wa jumuiya ya wazazi wilaya ya Shinyanga mjini Doris Kibabi akipanda mti katika eneo la Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

Post a Comment

Previous Post Next Post