" TANESCO SHINYANGA KUENDELEA KUSHUGHULIKIA HUDUMA YA UMEME KWENYE MAENEO YALIYOATHIRIKA

TANESCO SHINYANGA KUENDELEA KUSHUGHULIKIA HUDUMA YA UMEME KWENYE MAENEO YALIYOATHIRIKA

Na Mapuli Misalaba, Shinyanga

Mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Shinyanga imeharibu miundombinu ya umeme na kusababisha kukosekana kwa huduma ya nishati hiyo, katika baadhi ya maeneo.

Hayo yamezungumza na kaimu meneja wa shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga mhandisi Leo Mwakatobe wakati akitembelea maeneo yaliyoathirika na mvua hiyo ya upepo ambayo ilinyesha Februari 2,2023.

Mwakatobe amesema kufuatia mvua hizo miundombinu mbalimbali ya umeme imeharibika ikiwemo nguzo za umeme kuanguka, vifaa vya kupokelea umeme kukatika pamoja na nyaya kukatika katika maeneo mbalimbali ikiwemo kata ya Ngokolo, kata ya Ibinzamata, kata ya Chamaguha pamoja na kata ya Kizumbi.

“Tumepata athari kubwa miundombinu ya umeme baadhi imeathirika nguzo zilikuwa zimedondoka kwahiyo shirika lilikuwa limekosa mapato kwa kutokuuza umeme na ni sehemu kubwa sana ya Mkoa wa Shinyanga hasa maeneo ya mjini”.

“Asilimia kubwa baadhi ya wateja jana tuliwarejeshea huduma na wale ambao ilishindikana tunaendelea nao mpaka sasa lakini tunashukuru mpaka sasa hakuna maafa yaliyotokea zaidi ya kuharibu miundombinu tu”.amesema mhandisi Mwakatobe

Kaimu meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga mhandisi Leo Mwakatobe ametumia nafasi hiyo kuendelea kuwakumbusha wakazi wa Mkoa wa Shinyanga kutoa taarifa zenye changamoto ya miumbombinu ya umeme ili kushughulikiwa mapema.

Amewasisitiza wananchi wa Mkoa wa Shinyanga kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya mvua za masika zinazoendelea kunyesha.

“Tunaendelea kuwahamasisha wakazi wa Mkoa wa Shinyanga ambao wapo jirani na miundombinu ya umeme ambako kuna miti imesonga watoe taarifa ya hizo hatari ili tuje kukata hiyo miti isije kuleta tena athari kama ambavyo imejitokeza jana”.amesema mhandisi Mwakatobe

Kwa upande wake mhandisi mkuu wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Kurwa Mangara amesema wafanyakazi wa shirika hilo wameendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kuendelea kwa matengenezo ili kuhakikisha huduma hiyo inaendelea kama kawaida.

“Upepo uliokuwa ukiendelea kuvuma na kusababisha miti kukatika na kuangukia miundombinu ya umeme ambayo imepelekea kug’oa baadhi ya vyuma vya kupokelea umeme katika nyumba za wateja wetu hali kadharika miundombinu imeendelea kuathirika na baadhi ya nyumba kuanguka na mapaa kuezuliwa katika maeneo tofauti ikiwemo maeneo ya Matanda, Ngokolo pamoja na baadhi ya nguzo kuanguka katika njia kuu ya kusafirisha na kusambaza umeme inayokwenda maeneo ya Usanda, Tinde na Luhumbo”.

“kiujumla tumepata athari kuwa lakini tunaendelea na jitihada mbalimbali kuhakikisha wateja tunawarejeshea huduma ya umeme karaka”.amesema mhandisi Mangara

Misalaba Blog imezungumza na baadhi ya wananchi ambao wameeleza hali ilivyokuwa wakati mvua hiyo ikinyesha huku wakilishukuru Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga kwa jitihada wanazozifanya za kurejesha huduma hiyo.

Kaimu meneja wa shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga mhandisi Leo Mwakatobe akizungumzia athari za mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha na kusababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme ikiwemo nguzo kuanguka.Mafundi kutoka shirika la umeme Shinyanga wakiendelea kutatua changamoto ya umeme katika eneo la Iwelyangula kata ya Chamaguha Manispaa ya Shinyanga baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha na kusababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme ikiwemo nguzo kuanguka.
Mafundi kutoka shirika la umeme Shinyanga wakiendelea kutatua changamoto ya umeme katika eneo la Iwelyangula kata ya Chamaguha Manispaa ya Shinyanga baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha na kusababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme ikiwemo nguzo kuanguka.

Kimu meneja TANESCO Mkoa wa Shinyanga mhandisi Leo Mwakatobe katikati akiwa ameambatana na mhandisi mkuu wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Kurwa Mangara na upande wa kulia ni afisa uhusiano na huduma kwa wateja Lilian Mungai wakiangalia shimo ambalo limechibwa kwa ajili ya nguzo ya umeme iliyoathirika na mvua ya upepo eneo la Buhangija kata ya Ibinzamata Manispaa ya Shinyanga.

Zoezi la kuangalia shughuli ya kuchimba mashimo likiendelea katika eneo la Nhelegani kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha na kusababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme ikiwemo nguzo za umeme kuanguka.

Kaimu meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga mhandisi Leo Mwakatobe akielezea athari zitokanazo na nguzo za umeme kuanguka, akiwa katika eneo la Nhelegani kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga Zoezi la kuangalia shughuli ya kuchimba mashimo likiendelea katika eneo la Nhelegani kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha na kusababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme ikiwemo nguzo za umeme kuanguka.
Zoezi la kuangalia shughuli ya kuchimba mashimo likiendelea katika eneo la Nhelegani kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha na kusababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme ikiwemo nguzo za umeme kuanguka.

Zoezi la kuangalia miundombinu ya umemeo likiendelea katika eneo la mtaa wa Kalonga jina maarufu Mshikamano kata ya Ngokolo Manispaa ya Shinyanga baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha na kusababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme ikiwemo nguzo za umeme kuanguka.

Kaimu Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga mhandisi Leo Mwakatobe akiangalia nyaya iliyokatika ya umeme katika eneo la Mshikamano kata ya Ngokolo Manispaa ya Shinyanga
Kaimu Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga mhandisi Leo Mwakatobe akiielezea nyaya iliyokatika ya umeme katika eneo la Mshikamano kata ya Ngokolo Manispaa ya Shinyanga

Muonekano wa kanisa la EAGT lililopo Mshikamano kata ya Ngokolo Manispaa ya Shinyanga ambalo limeanguka kufuatia mvua iliyoambatana na upepo mkali kunyesha Feburuari 2,2023

Mhandisi mkuu wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga akionesha meta ya chuma cha kupokelea umeme kutoka kwenye nguzo kwenda kwenye nyumba katika eneo la mtaa wa Majengo mapya kata ya Lubaga Manispaa ya Shinyanga

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

Post a Comment

Previous Post Next Post