Katibu wa SMAUJATA Kanda ya Ziwa Shujaa Hashim Omary Ramadhani akiwa kwenye
picha ya pamoja na viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Geita.
Katibu wa SMAUJATA Kanda ya Ziwa Shujaa Hashim Omary Ramadhani akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo afisa ustawi wa jamii Mkoa wa Geita upande wa kushoto.
Katibu wa SMAUJATA Kanda ya Ziwa Shujaa Hashim Omary Ramadhani akisamiliana na kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita ACP Sofia Jongo, ikiwa ni sehemu ya ziara yake.
Katibu
wa SMAUJATA Kanda ya Ziwa Shujaa Hashim Omary Ramadhani akifanya mazungumza ya pamoja na
kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita ACP Sofia Jongo, ikiwa ni sehemu ya
ziara yake.
Katibu wa SMAUJATA Kanda ya Ziwa Shujaa Hashim Omary Ramadhani akihutubia viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Geita ikiwa ni sehemu ya ziara yake, katika ukumbi wa mikutano ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa geita.
Katibu wa SMAUJATA Kanda ya Ziwa Shujaa Hashim Omary Ramadhani akiwa kwenye picha ya pamoja na mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigela (katikati), pamoja na Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Geita Yohana Kisenga wa kwanza upande wa kulia.
Katibu wa SMAUJATA Kanda ya Ziwa Shujaa Hashim Omary Ramadhan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Geita.
Viongozi
mbalimbali kutoka katika Wilaya za Mkoa wa Geita wakisikiliza hotuba ya
Katibu wa SMAUJATA Kanda ya Ziwa Shujaa Hashim Omary Ramadhani katika
ukumbi wa mikutano ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Geita. 


Post a Comment