HomeTANGAZO CHUO CHA BSL KIMETANGAZA NAFASI ZA MASOMO KUANZIA D MBILI, KIPO KAHAMA MJINI MKOA WA SHINYANGA Misalaba February 16, 2024 0 Wasiliana nasiBSL COLLEGE OF TANZANIA P.O. BOX 48KAHAMA SHINYANGA0712583756\0752849726Karibu upate Elimu bora kwa kusoma nasi kupitia mfumo wa IPPE.Vigezo vya kazi zetu ni kuanzia ufaulu wa alama D mbili na kuendelea.Pia kuna kozi za muda mfupi na muda mrefu, njoo ujiendeleze kupitia sisi.TUNAFUNDISHA KOZI ZIFUATAZO1.Certificate in Early Childcare\Nursey Teaching (Kozi ya Ualimu Malezi watoto wadogo)2.Certificate in secretarial Services (Short program).3.Certificate in Front Office and Hospitality (Huduma na Mapokezi).4.Certificate in Computer Studies (Kozi ya Kompyuta).5.Certificate in Hair dressing and Beautification (Kozi ya Ususi na Urembo).MAHALI TULIPOTUPO MTAA WA MBULU WILAYA YA KAHAMA MJINI KARIBU NA VIWANJA VYA LOWASA.Wasiliana nasiBSL COLLEGE OF TANZANIA P.O. BOX 48KAHAMA SHINYANGA0712583756\0752849726 You Might Like View all
Post a Comment