
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu
Mpandarume akizungumza kwenye Baraza la Madiwani la Halmashauri hiyo katika
Mkutano wa kawaida kupokea na kujadili taarifa za Utekelezaji wa Shughuli za
Maendeleo kwa kipindi cha robo ya tatu ya Mwaka wa Fedha 2023/2024
Balaza hilo la Madiwani Halmashauri
Wilaya ya Magu limebariki kugawa
kwa jimbo la Magu
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo
Mhe, Saimon Mpandarume baada ya Madiwani kueleza kilio chao cha Muda
Mrefu,kwamba Maendeleo yamekuwa ayafiki kwa wakati kutokana na Jimbo hilo kuwa
na kata 25 ukumbwa huo umekuwa unazolotesha Maendeleo ayafiki Kwa Wakati
Naye Diwani wa Kata ya Bujora Bunyanya John amesema
kugawa kwa jimbo hilo Utarahisha huduma za Maendeleo hivyo bhac namuomba Mhe
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuona umuhimu wa Jimbo hili jipya
Kamati hiyo lmeuziliwa na viongozi mbali mbali
wakiwemo wakuu wa idara kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Magu Pamoja na
watendaji wa kata










Post a Comment