" UHAMIAJI YATANGAZA NAFASI MPYA ZA AJIRA KWA VIJANA WA KITANZANIA

UHAMIAJI YATANGAZA NAFASI MPYA ZA AJIRA KWA VIJANA WA KITANZANIA









KAMISHNA Jenerali wa Uhamiaji ametangaza rasmi nafasi za ajira mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa vijana wa Kitanzania wenye sifa stahiki, kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018.

Aidha, waombaji wanatakiwa kuzingatia vigezo na masharti yatakayotajwa katika tangazo rasmi la ajira, ikiwemo sifa za elimu, umri, afya na maadili, kabla ya kuwasilisha maombi yao ndani ya muda uliopangwa.

Mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 11 January 2026

Kamishna Jenerali amesema zoezi hilo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuimarisha rasilimali watu ndani ya Idara ya Uhamiaji, sambamba na kutoa fursa za ajira kwa vijana wa Kitanzania.



Post a Comment

Previous Post Next Post