1.
Jumamosi,
07 Desemba 2024
o
KANO VS SEC COMBINE
2.
Jumapili,
08 Desemba 2024
o
BEYA VS MAHAKAMA
3.
Jumatatu,
09 Desemba 2024 (Siku ya Uhuru)
o
SOLWA FC VS SALAWE STARS
4.
Jumanne,
10 Desemba 2024
o
MAHANDO VS MWASENGE
5.
Jumatano,
11 Desemba 2024
o
SALAWE STARS VS MWABENDA FC
6.
Alhamisi,
12 Desemba 2024
o
NUSU FAINALI:
§ Mshindi wa mechi ya Jumamosi (07.12.2024) VS Mshindi wa
mechi ya Jumapili (08.12.2024)
7.
Ijumaa, 13
Desemba 2024
o
NUSU FAINALI:
§ Mshindi wa mechi ya Jumanne (10.12.2024) VS Mshindi wa mechi
ya Jumatano (11.12.2024)
8.
Mapumziko:
o
Jumamosi na Jumapili, 14 - 15
Desemba 2024
9.
Jumatatu,
16 Desemba 2024
o
Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu
10.
Jumanne,
17 Desemba 2024
o
FAINALI KUU
Kila la heri kwa timu zote! 🎉
Mashindano hayo yameandaliwa na Makamba Lameck kupitia kampuni yake ya MCL inayojihusisha na biashara ya nafaka, kwa lengo la kuibua vipaji vya michezo mkoa wa Shinyanga na maeneo jirani.
Post a Comment