RS BERKANE MABINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA.
RS Berkane wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa tatu kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya kutoka sare ya 1-1 katika mchezo wa pili wa fainali dhidi ya Simba SC.
Jumla ya goli 3-1 zimetosha kuwapa RS Berkane ubingwa huo baada wa mchezo wa kwanza kushinda goli 2-0.
Post a Comment