Wananchi
wa Kata ya Kihesa katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa mkoani Iringa
wakikagua majina yao katika daftari la awali la wapiga Kura lililobandikwa
katika kiuo cha kujiandikishia wapiga Kura kilichopo ofisi ya Mtendaji Kihesa.
Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi imeanza awamu ya pili ya Uboreshaji wa Daftari
la Wapiga Kura katika mikoa 15 ya Tanzania bara kuanzia Mei Mosi hadi 07, 2025
unaokwenda sambamba na uwekaji wazi wa daftari la awali.
Wananchi wa Kata ya Kihesa katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa mkoani Iringa wakikagua majina yao katika daftari la awali la wapiga Kura lililobandikwa katika kiuo cha kujiandikishia wapiga Kura kilichopo ofisi ya Mtendaji Kihesa. Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi imeanza awamu ya pili ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura katika mikoa 15 ya Tanzania bara kuanzia Mei Mosi hadi 07, 2025 unaokwenda sambamba na uwekaji wazi wa daftari la awali.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akitembelea na kukagua vituo vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili mkoani Njombe linalokwenda sambamba na uwekaji wazi wa daftari la awali la wapiga kura ambapo mikoa 15 imeanza zoezi hilo litafanyika kwa siku saba kuanzia Mei 1 hadi 7, 2025.

Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele
akitembelea na kukagua vituo vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
awamu ya pili mkoani Njombe linalokwenda sambamba na uwekaji wazi wa daftari la
awali la wapiga kura ambapo mikoa 15 imeanza zoezi hilo litafanyika kwa siku
saba kuanzia Mei 1 hadi 7, 2025.
*****************
Na. Mwandishi wetu, IringaTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wananchi kutoka katika mikoa 15 ya Tanzania Bara inayotekeleza mzunguko wa kwanza katika awamu ya pili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura kujitokeza katika vituo walivyojiandikishia na kutazama daftari la awali lilolowrekwa wazi na kutoa taarifa za wale waliokosa sifa kuwepo kwenye daftari hilo.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza na baadhi ya vijana waliojitokeza kujiandikisha kwa mara ya kwanza katika moja ya vituo Mkoani Iringa.
Matukio mbalimbali ya ziara ya Mwenbyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wakati akitembelea vituo mkoani Iringa
Post a Comment