" LYRICS: NYASANI Feat MR BLUE - SAWA

LYRICS: NYASANI Feat MR BLUE - SAWA

 

🎧 NYASANI ft. MR BLUE – SAWA
🔥 Ngoma mpya yenye hisia kali kutoka Shinyanga!

NYASANI, msanii anayekuja kwa kasi kutoka mkoa wa Shinyanga, ameachia rasmi ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “SAWA” akiwa sambamba na nguli wa Hip Hop, MR BLUE.
Ngoma hii ni mseto wa mapenzi, ukomavu na ujumbe unaogusa moyo – imebeba ladha ya mtaa lakini pia kiwango cha juu cha kisanii!

🎵 Mashairi yamepikwa kwa ustadi, midundo ya kuvutia na vionjo vya kisasa vinavyomfanya NYASANI kuonesha kuwa yeye si msanii wa kawaida. Ukitafuta wimbo wa kupumzika nao, kupenda tena, au kujikumbusha kuwa kila kitu kinaweza kuwa SAWA – basi huu ni wimbo wako!


🔁 Sikiliza – Share – Tuma kwa mtu wako wa karibu.
📍 Shinyanga inatoa vipaji – NYASANI ni uthibitisho!
🎬 Video inakuja muda si mrefu, kaa mkao wa kula!

👇 Bonyeza link hapa chini kusikiliza wimbo mpya:
🎶 "SAWA" by NYASANI ft. MR BLUE 👇
#Nyasani #Sawa #MrBlue #BongoFleva #ShinyangaToTheWorld

Post a Comment

Previous Post Next Post