Kiwanga Doctors wana dawa ya kurudisha mpenzi wako aliyekuacha, dawa ya Nguvu za kiume, dawa ya kusafirisha nyota yako, dawa ya mvuto wa biashara, dawa ya kupata kizazi, dawa ya mapenzi pamoja dawa ya kushinda michezo ya batinasibu.
Wasiliana na Kiwanga Doctors kwa piga namba ya simu +255 763 926 750, pia unaweza tembelea website yao kupata taarifa zaidi na jinsi wanavyosajdia watu.
Jina langu ni Rwakatare mkazi wa Mwanza pia mke wangu anaitwa Juliana mwenye umri wa miaka 27, Mwenyezi Mungu katujalia tuna mtoto mmoja wa kike. Mwaka 2018 nilimfungulia mke wangu duka la kuuza nguo za kiume na za kike.
Mke wangu alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hadi duka letu likaongezeka sana japo mimi nilizidi kufanya kazi yangu ya kusafirisha maharagwe kutoka Mwanza kwenda mikoa mbalimbali hapa nchini.
Kutokana na kazi yangu hivyo nilikuwa nasafiri mara kwa mara, mwaka 2019 mdogo wangu wa kiume alihitimu kidato cha sita kisha nikaamua kumleta nyumbani ili aweze kusaidiana na mke wangu dukani.
Nilimtumia nauli ya kutoka kijijini kwetu hadi Mwanza kisha nikamtumia dereva wangu akampokea standi ya Nyegezi, alifika salama nyumbani kwangu nikamuonesha chumba yake ya kulala.
Jinsi Biashara ya nguo inavyoenda dukani, walisaidiana mke wangu pamoja na wafanyakazi wengine katika kufanya shughuli zao za kila siku.
Kwa Upande wangu mimi nilikuwa siendi dukani mara kwa mara japo nikipata muda nilikuwa nawatembelea na kuona jinsi gani biashara inavyoenda.
Mwezi moja kupita turifanya mahesabu ya mwezi nikaona kuwa biashara inakua kwa kasi kubwa sana kutokana na ushirikiano wa mke wangu na mdogo wangu, nikaamua kuongeza million 3 tena katika hiyo biashara, hivyo wakaanza kuuza jumla na rejareja kwa wateja wao.
Kutokana na kupanda kwa biashara kila mwezi mdogo wangu Roja alikuwa anapata laki 3 kwa ajili ya matumizi yake binafsi, nilifanya hivyo ili mdogo wangu asikose kitu chochote anachokiitaji pia kupitia nafasi hiyo aweze kuanzisha biashara yake mwenyewe muda ukifika kutokana na matokeo yake ya kidogo cha sita hayakumpatia nafasi ya kujiunga na masomo ya elimu ya juu.
Mke wangu Juliana na mdogo wangu Roja waliweza kuwa karibu sana kutokana na kufanya biashara pamoja ila kwa upande wangu sikuweza jua kama kuna kitu kinaweza endelea kati yao zaidi ya biashara tu.
Mimi nilienderea na safari zangu za kila mara kama kawaida yangu nikimuacha mke wangu na mdogo wangu wakienderea na kazi zao.
Siku moja nilitoka safari kisha nikawapitia dukani na kuwasubiri wafunge muda ukiwadia ili turejee nyumbani wote, muda ulifika kisha wakafunga duka na tukarudi nyumbani.
Turipofika nyumbani niliweza pumzika kidogo na mke wangu na baadae nikaenda chumbani kwa mdogo wangu Roja kwa ajili ya kumpatia nguo zangu aninyoshee ambazo nitavaa kesho yake asubuhi.
Baada ya kumkadhi nguo zangu alitoa shuka la kutumia kwa ajili ya kunyoosha nguo ndipo niliona chupi ya mke wangu kitandani kwake. Nilipomuuliza chupi ya mke wangu inafanya nini kitandani kwake akasema hata yeye ajui nani kaileta kwenye chumba chake.
Mimi nilichukua ile chupi hadi chumbani kwetu kisha nikangoja tukimaliza kula nimuulize mke wangu.
Baada ya chakula ndipo nikamuonesha chupi yake na kumuuliza ilikuwa inafanya nini kwa chumba ya Roja, mke wangu alicheka kisha akaniambia kuwa mtoto wetu Rita ndo ana tabia ya kubeba nguo zake kutoka chumbani kwa sababu ameanza kutembea, hivyo kila anachokutana nacho anabeba tu.
Sikuweza mkatalia mke wangu kutokana na maelekezo aliyonipatia ila moyo wangu ulibaki na wasiwasi na kujiuliza mbona mtoto wangu Rita akubeba nguo nyingine zaidi ya chupi, kama amebeba chupi mbona ajaiweka sebleni.
Kutokana na hayo maswali ilinibidi nianze kuwafuatiliaa mke wangu na mdogo wangu bila wao kujua, ndipo siku moja nikamwambia mke wangu kuwa nasafiri kwenda Karagwe kwa ajiri ya kununua maharagwe hivyo nitakaa kule siku saba, ila mimi sikuweza fika Karagwe bali nilibaki Mwanza ili nijue nikitoka kipi huwa kinaenderea nyumbani.
Baada ya siku tatu nilirudi nyumbani usiku bila wao kutarajia kisha nikamuomba mdogo wangu Roja simu yake kisha nikaenda moja kwa moja kwa WhatsApp na kukutana na picha za uchi za mke wangu pamoja meseji alizokuwa wanatumiana.
Hapo ndo nilijua kuwa walikuwa wanashiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu hata chupi kuwepo kwa chumba cha Roja siyo mtoto wangu Rita aliipeleka.
Je, nifanye nini?, nimfukuze mke wangu au nimfukuze mdogo wangu? Je, nikimfukuza mdogo wangu nyumbani watanifikiriaje hali ya kuwa baba yetu alishafariki na kuniomba niwalee wadogo zangu. Naomba ushauri wenu.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
SOMA ZAIDI
Post a Comment