Baba mzazi wa Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta, Mzee Ally Samatta amefariki dunia alfajiri ya leo katika makazi yake yaliyopo Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam.
Enzi za uhai wake Mzee Samatta aliwahi kuichezea timu ya taifa akivaa jezi namba 10.
Enzi za uhai wake Mzee Samatta aliwahi kuichezea timu ya taifa akivaa jezi namba 10.
Post a Comment