FURSA YA ELIMU YA MADINI NA GESI IMEWASILI!
Chuo cha Madini Shinyanga (Earth Sciences Institute of Shinyanga – ESIS) kinapokea maombi ya kujiunga kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwa mwaka huu wa masomo.
⛏️ Kozi Zinazotolewa:
✅ Exploration and Mining Geology
✅ Petroleum Geology
📌 Mafunzo haya yanatolewa kwa nadharia na vitendo, yakiwajengea wanafunzi ujuzi wa moja kwa moja unaokubalika kwenye soko la ajira la ndani na nje ya nchi.
🎯 Tunawakaribisha wahitimu wa kidato cha nne na sita, pamoja na wale wanaotafuta ujuzi wa kitaalamu kwenye sekta ya madini, mafuta na gesi.
📱 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kutuma maombi kupitia:
📞 +255 765 434 604
📞 +255 687 434 617
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
📲 Instagram, Facebook & TikTok: @officialesis | ESIS Admission
🕐 Usikose nafasi yako – Jiunge na taasisi yenye ubora na rekodi ya kutoa wataalamu mahiri katika sekta ya madini!
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment