" ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA SOLWA AWADHI MBARAKA ABOUD AFARIKI DUNIA KWA AJALI

ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA SOLWA AWADHI MBARAKA ABOUD AFARIKI DUNIA KWA AJALI

 Tanzia : ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA SOLWA AWADH ABOUD AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Solwa, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Awadh Mbaraka Aboud amefariki dunia baada ya kupata ajali ya bajaji aliyokuwa akisafiria kugongwa na basi la kampuni ya Frester.


Tukio hilo la kusikitisha limetokea Julai 19,2025 wakati marehemu akiwa safarini kutoka eneo la Kolandoto kuelekea Shinyanga Mjini, ambapo bajaji aliyopanda iligongana na basi hilo, na kusababisha majeraha makubwa yaliyosabisha kifo chake.


Chanzo MALUNDE BLOG

Post a Comment

Previous Post Next Post