" IDSAM MAPANDE AREJESHA FOMU YA UDIWANI KATA YA KAHAMA MJINI

IDSAM MAPANDE AREJESHA FOMU YA UDIWANI KATA YA KAHAMA MJINI



Mjasiriamali ambaye pia ni mwenyekiti wa bodaboda mkoa wa Shinyanga Idsam Swalehe Mapande, leo Julai 2, 2025, amerejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea udiwani kata ya Kahama Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi.

Fomu hiyo imepokelewa katika ofisi ya CCM tawi la Igalilimi na kupokelewa na katibu wa CCM kata ya Kahama Mjini Charles Sazia Nkwabi, ikiwa leo ndio tamati ya kuchukua na kurejesha fomu kwa watia nia wa nafasi mbalimbali za uwakilishi wa wananchi kupitia CCM, kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.






 



Post a Comment

Previous Post Next Post