" JIREHD MOTORS WAZIDI KUNG'ARA KWENYE TAMASHA LA UTAMADUNI WA MSUKUMA SHINYANGA

JIREHD MOTORS WAZIDI KUNG'ARA KWENYE TAMASHA LA UTAMADUNI WA MSUKUMA SHINYANGA

🔸 JIREHD MOTORS WAZIDI KUNG'ARA KWENYE TAMASHA LA UTAMADUNI WA MSUKUMA SHINYANGA

Kampuni ya Jirehd Motors, maarufu kwa kauli mbiu "We Dream You Drive", ni miongoni mwa wadau waliopo kwenye banda la maonesho katika Tamasha la Utamaduni wa Msukuma – Shinyanga Festival Season 4, wakitoa fursa kwa wakazi wa Shinyanga na mikoa jirani kujipatia magari bora kwa usalama na uhakika.

Katika ofa yao maalum kwa wateja, Jirehd Motors wanatoa huduma na zawadi bure kwa mnunuzi wa gari, ikiwemo:
✅ Usajili wa gari na plate number
✅ Bima ya mwaka mzima
✅ Triangle na kizima moto
✅ GPS Tracker kwa magari ya biashara
✅ Sabuni bora ya kuoshea na kung’arishia gari
✅ Portable jump starter
✅ Key holder

Kwa wateja wanaotembelea banda lao ndani ya tamasha, hii ni nafasi ya kipekee kupata ushauri, huduma, na kuona magari ya aina mbalimbali kama Toyota Land Cruiser, Prado, RAV4, Hiace na mengine mengi.

Jirehd Motors wameonesha kuwa si tu wanauza magari, bali pia wanachangia katika maendeleo ya kijamii na kiutamaduni kwa kushiriki kwenye matukio muhimu kama haya yanayohifadhi utambulisho wa Mtanzania.

📍Ofisi zao zipo Dar es Salaam – Samora House, Ghorofa ya 9
📞 Simu: +255 794 242 557 / +255 752 432 112
📧 Email: jirehdmotors@gmail.com




Post a Comment

Previous Post Next Post