UTEUZI WA MWISHO WAGOMBEA UBUNGE, UDIWANI CCM KUFANYIKA JULAI 28
Misalaba0
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Amos Makalla, ametangaza kuwa chama hicho kimejipangia tarehe ya kufanya uteuzi wa mwisho wa wagombea wake kwa nafasi za Ubunge na Udiwani kuwa ni tarehe 28, mwaka 2025.
Post a Comment