Mwamuzi Ahmed Arajiga ameteuliwa kuwa Mwamuzi wa kati katika mashindano ya CHAN yanayotarajiwa kutimua vumbi kuanzia Agosti 2 mwaka huu.
Arajiga amekuwa miongoni mwa waamuzi bora na kioo cha Taifa la Tanzania kwani amekuwa akifanya vizuri katika mashindano mbali mbali ambayo amekuwa akisimama kama refa wa kati.
Mwamuzi wa msaidizi Ally Hamdani Said ameteuliwa pia kusimamia michuano ya CHAN huku kwa upande wa Burundi akiteuliwa Emery Niyongabo.
Post a Comment