Chuo cha Madini Shinyanga (Earth Sciences Institute of Shinyanga – ESIS) kinapokea maombi ya kujiunga kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya Cheti (Certificate) na Diploma.
📌 Kozi Zinazotolewa:
-
Utafutaji na Uchimbaji wa Madini (Exploration and Mining Geology)
-
Jiolojia ya Mafuta na Gesi (Petroleum Geology)
-
Kozi za muda mfupi (Tailor-made Short Courses)
✅ Faida za Kujiunga na ESIS:
-
Mazingira bora ya kujifunzia na vifaa vya kisasa
-
Uzoefu wa vitendo kupitia maabara, migodi na ziara za kitaaluma
-
Wakufunzi mahiri na wenye uzoefu
-
Kozi zinazokubalika kitaifa na kimataifa
-
Fursa kubwa za ajira baada ya kuhitimu
💰 MIKOPO YA SERIKALI:
Wanafunzi wa ngazi ya Cheti na Diploma wanaosoma kozi za Exploration and Mining Geology, Petroleum Geology na Mineral Processing Engineering wanastahili kuomba mkopo wa Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) iwapo watakidhi vigezo.
📞 Wasiliana Nasi Sasa:
📱 +255 765 434 604 | +255 687 434 617
Jiunge sasa na safari ya mafanikio kupitia sekta ya madini!
ESIS – Quality is Our First Priority
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment