" ESIS ELIMU KWA VITENDO –UDAHILI BADO UNAENDELEA KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA

ESIS ELIMU KWA VITENDO –UDAHILI BADO UNAENDELEA KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA

🎓ESIS  ELIMU KWA VITENDO –UDAHILI BADO UNAENDELEA KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA

📢 CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)
🌍 Earth Sciences Institute of Shinyanga

Tunapokea wanafunzi kwa ngazi ya CHETI na DIPLOMA katika kozi zifuatazo:
Exploration & Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji Madini)
Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi)

💡 Habari njema!
Wanafunzi wenye sifa hupata mkopo wa serikali kupitia HESLB.

👉 Usikose nafasi hii ya kusoma taaluma yenye uhakika wa ajira ndani na nje ya nchi.

🌐 Tuma Maombi:

www.esis.ac.tz

📞 Wasiliana Nasi: +255 687 434 617 | +255 765 434 604

GUSA LINK HAPA CHINI👇


 

Post a Comment

Previous Post Next Post