ESIS – TAA YA ELIMU YA MADINI TANZANIA, TUMA MAOMBI LEO UJENGE KESHO YAKO
Chuo cha Madini Shinyanga (Earth Sciences Institute of Shinyanga – ESIS) kinakaribisha maombi ya udahili kwa ngazi ya CHETI na DIPLOMA katika fani zifuatazo:
✅ Exploration and Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji Madini)
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi)
✅ Kozi za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses)
🎯 Fursa hii ni kwa vijana na watu wote wanaotamani kujijengea taaluma inayowaandaa kushiriki kikamilifu katika sekta ya madini, mafuta na gesi – sekta yenye mchango mkubwa katika uchumi wa Taifa.
👉 Udahili unaendelea! Usikose nafasi ya kujiunga leo na kuanza safari yako ya kitaaluma na ESIS.
🌐 Tuma maombi yako sasa kupitia:
www.esis.ac.tz
📞 Mawasiliano (Help Desk):
+255 765 434 604 | +255 687 434 617
ESIS – AJIRA INAANZIA HAPA!
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment