📢 JIPATIE UJUZI WA MADINI, GESI NA MAFUTA WENYE SOKO LA AJIRA KUPITIA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)
🌍 Earth Sciences Institute of Shinyanga
✨ NAFASI BADO ZIPO!
Jiunge na Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS) leo ujipatie elimu bora yenye vitendo na fursa za ajira ndani na nje ya nchi.
🎓 Kozi Tunazotoa (Cheti & Diploma):
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi)
✅ Exploration and Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji Madini)
✅ Kozi za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses)
💡 Kwa wanafunzi wenye vigezo, mkopo wa serikali unapatikana kupitia HESLB.
👉 Usikose nafasi hii ya kipekee – Jenga mustakabali wako leo na ESIS!
🌐 Tuma Maombi Sasa: www.esis.ac.tz
📞 Wasiliana Nasi: +255 765 434 604 | +255 687 434 617
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment